📰 Habari na Matukio
Tangazo Tangazo
Uongozi wa Wasso Hospital Unawatangazia wananchi wote wa Wilaya ya Ngorongoro na maeneo Jirani kuwa tuna Ujio wa Madaktari Bingwa kuanzia tarehe 27/10/2025 hadi 31/10/2025 Karibu sana tukuhudumie Kumbuka sisi Tunatibu lakini Mungu ndiye Mponyaji
Mwisho wa Taarifa: 31 Oct 2025
