🩺 Matangazo ya Ujio wa Madaktari Bingwa
TANGAZO LA UJIO WA MADAKTARI BINGWA
Uongozi wa Wasso Hospital Unawatangazia wananchi wote wa Wilaya ya Ngorongoro na maeneo Jirani kuwa tuna Ujio wa Madaktari Bingwa kuanzia tarehe 27/10/2025 hadi 31/10/2025 Karibu sana tukuhudumie Kumbuka sisi Tunatibu lakini Mungu ndiye Mponyaji
